Ituika

Kepha Onchaga

Jina langu ni Kepha Onchaga ni mzawa wa Kisii, Kenya. Nina Shahada ya Elimu kutoka Chuo Kikuu cha Maasai Mara. Nimekuwa mwandishi wa muda na kuchangia katika uandishi wa hadithi fupi katika diwani ya Shaka ya Maisha na Hadithi Nyingine na Makovu ya Moyoni na Hadithi Nyingine. Kwa sasa mimi ni mwalimu wa lugha na fasihi katika shule ya upili ya wavulana Cheptenye. Kupitia kwa lugha za kiafirika nimeweza kuchangia na kukuza lugha hizi kupitia maandishi. Kwa sasa niko mbioni kuhakikisha lugha hizi hazitakufa licha ya mjo wa utandawazi.

Kepha Onchaga will write Kiswahili.