Ituika

Matano Nyundo

Matano Nyundo ni  mwandishi wa mswada wa riwaya ya NI_PESA ukiwa ni mswada wake ya kwanza kuwahi kuandika.  Aidha, alizaliwa kitongoji  cha Mazola,  kaunti ndogo ya Kinango,kutoka kaunti ya Kwale miaka 42 iliyopita. Anamiliki cheti cha Diploma ya uanahabari kutoka taasisi ya Mombasa Aviation Training Institute. Ni mshindi wanne wa tuzo ya ubunifu  hapa Kenya, mwaka wa 2016 kitengo cha riwaya. Matano pia alihusishwa katika ubunifu wa vidahizo vipya vya kamusi elezi ya Jommo Kenyatta Educational Publishers mnamo mwaka wa 2014. Ana mke mmoja na watoto watatu, msichana mmoja na wavulana wawili. Aidha,  ni mwaandishi habari mkongwe wa kujitegemea.

Matano Nyundo will write in Kiduruma.