Ituika

Nyatichi Makini

Nyatichi Makini ni mwanafunzi wa uzamifu katika chuo Kikuu Cha Moi. Ana shahada ya uzamili kutoka chuo Kikuu cha Kenyatta. Shahada ya Ualimu alijinyakulia kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Kwa sasa yeye ni mwalimu wa Kiswahili katika shule ya Upili ya Nyaikuro, Kaunti ya Nyamira. Mwalimu Nyatichi ni mtunzi wa mashairi na mwandishi wa hadithi fupi katika lugha ya Kiswahili.

Georginah Nyatichi Makini will write in Ekegusii.